Michango ya mtumiaji Muddyb
Mandhari
Results for Muddyb majadiliano Kumbukumbu ya uzuio vipakizaji kumbukumbu global block log akaunti ya kimataifa abuse log
A user with 641 edits. Account created on 23 Novemba 2007.
4 Oktoba 2024
- 10:3410:34, 4 Oktoba 2024 tofauti hist +110 P compel Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '==={{en}}=== ===kitenzi=== #ni neno la Kiingereza lenye maana ya shurutisha au lazimisha. {{KWW}}' ya kisasa Tag: 2017 source edit
- 10:3110:31, 4 Oktoba 2024 tofauti hist −17 shurutisha No edit summary Tag: 2017 source edit
- 10:3010:30, 4 Oktoba 2024 tofauti hist +341 P shurutisha Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '==={{sw}}=== ====kitenzi==== =====maana===== #'''kulazimisha mtu afanye kitu kwa nguvu au kwa amri.''' *mfano: '''Alimshurutisha mtoto kwenda shuleni.''' (Alimlazimisha mtoto kwenda shuleni). =====visawe===== * '''lazimisha''' * '''fanyisha''' * '''amrisha''' ====Tafsiri==== *'''Kiingereza''':compel, force {{KWW}}' Tag: 2017 source edit
- 10:1310:13, 4 Oktoba 2024 tofauti hist +577 P fanyisha Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '==={{sw}}=== ===kitenzi=== ===matamshi=== *kipashio: ''fa-nyi-sha'' '''IPA''': /fɑɲiʃɑ/ *maumbo katika sarufi: **Muda uliopo: na-fanyisha ***Muda uliopita: li-fanyisha ****Muda ujao: ta-fanyisha ===maana=== #kusababisha au kulazimisha mtu kufanya kitu **Mfano: ''Mwalimu alifanyisha wanafunzi zoezi la hesabu.'' ***''(Mwalimu aliwasababisha wanafunzi wafanye zoezi la hesabu).'' #kumfanya mtu afanye jambo kwa nia au lengo fulani ***mathalani: ''A...' Tag: 2017 source edit
27 Septemba 2024
- 13:5913:59, 27 Septemba 2024 tofauti hist +199 P goma Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '==={{sw}}=== ===nomino=== '''goma''' ''(nomino, linaweza kuwa wingi au umoja)'' #goma ni kitendo cha kususia kazi au shughuli fulani kwa lengo la kudai haki au kuonyesha kutoridhika na hali fulani.' Tag: 2017 source edit
24 Septemba 2024
- 13:2713:27, 24 Septemba 2024 tofauti hist −10 elezea No edit summary Tag: 2017 source edit
- 13:2613:26, 24 Septemba 2024 tofauti hist +96 P banquet Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '==={{en}}=== ===nomino=== #ni neno la Kiingereza lenye maana ya dhifa kwa Kiswahili.' ya kisasa Tag: 2017 source edit
- 13:2013:20, 24 Septemba 2024 tofauti hist +82 P needed Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '==={{en}}=== ===kitenzi=== #ni neno la Kiingereza lenye maana ya hitajika.' ya kisasa Tag: 2017 source edit
- 13:2013:20, 24 Septemba 2024 tofauti hist +78 P required Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '=={{en}}== ==Kitenzi== #ni neno la Kiingereza lenye maana ya hitajika.' ya kisasa Tag: 2017 source edit
- 13:0513:05, 24 Septemba 2024 tofauti hist +141 P hitajika Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '=={{sw}}== ==Kitenzi== #'''hitajika''' ni neno la Kiswahili linalomaanisha "kinachotakiwa" au "kutakikana." {{en}}: required, needed' ya kisasa Tag: 2017 source edit
6 Septemba 2024
- 12:1512:15, 6 Septemba 2024 tofauti hist +24 P mpenzi wa baridi Muddyb alihamisha ukurasa wa mpenzi wa baridi hadi krayofilia: Kuswahilisha ya kisasa Tag: New redirect
- 12:1512:15, 6 Septemba 2024 tofauti hist 0 d krayofilia Muddyb alihamisha ukurasa wa mpenzi wa baridi hadi krayofilia: Kuswahilisha ya kisasa
- 12:1512:15, 6 Septemba 2024 tofauti hist −251 krayofilia Kusawazisha kurasa... Tag: 2017 source edit
- 12:1212:12, 6 Septemba 2024 tofauti hist +25 P kipenda Asidi Muddyb alihamisha ukurasa wa kipenda Asidi hadi asidifoliki: Angalau! ya kisasa Tag: New redirect
- 12:1212:12, 6 Septemba 2024 tofauti hist 0 d asidifoliki Muddyb alihamisha ukurasa wa kipenda Asidi hadi asidifoliki: Angalau!
- 11:4111:41, 6 Septemba 2024 tofauti hist −57 bimbilisa mavi No edit summary ya kisasa Tag: 2017 source edit
- 11:4111:41, 6 Septemba 2024 tofauti hist +28 P mpenda kinyesk Muddyb alihamisha ukurasa wa mpenda kinyesk hadi bimbilisa mavi: jina halisi ya kisasa Tag: New redirect
- 11:4111:41, 6 Septemba 2024 tofauti hist 0 d bimbilisa mavi Muddyb alihamisha ukurasa wa mpenda kinyesk hadi bimbilisa mavi: jina halisi
- 11:3711:37, 6 Septemba 2024 tofauti hist −61 sherehe ya kijamii No edit summary ya kisasa Tag: 2017 source edit
- 09:0309:03, 6 Septemba 2024 tofauti hist +31 P mchujaji wa msukumo Muddyb alihamisha ukurasa wa mchujaji wa msukumo hadi chujio la msukumo: AI translated term. Nimeweka katika msingi halisi. ya kisasa Tag: New redirect
- 09:0309:03, 6 Septemba 2024 tofauti hist 0 d chujio la msukumo Muddyb alihamisha ukurasa wa mchujaji wa msukumo hadi chujio la msukumo: AI translated term. Nimeweka katika msingi halisi.
23 Agosti 2024
- 13:4013:40, 23 Agosti 2024 tofauti hist +145 P Majadiliano:Informatics ya mazingira →Kiswanglishi?: mjadala mpya ya kisasa Tag: New topic
- 11:0211:02, 23 Agosti 2024 tofauti hist −30 Biojiofizikia Lakini hili ni neno la Kiswahili? Tag: 2017 source edit
- 11:0211:02, 23 Agosti 2024 tofauti hist 0 Biojiofizikia No edit summary Tag: 2017 source edit
- 11:0211:02, 23 Agosti 2024 tofauti hist +27 P Biogeofizikia Muddyb alihamisha ukurasa wa Biogeofizikia hadi Biojiofizikia: Jina lina Uzungu ndani. ya kisasa Tag: New redirect
- 11:0211:02, 23 Agosti 2024 tofauti hist 0 d Biojiofizikia Muddyb alihamisha ukurasa wa Biogeofizikia hadi Biojiofizikia: Jina lina Uzungu ndani.
- 10:5910:59, 23 Agosti 2024 tofauti hist −51 Baridi kidogo No edit summary Tag: 2017 source edit
16 Agosti 2024
- 10:0610:06, 16 Agosti 2024 tofauti hist +296 Majadiliano ya mtumiaji:Kwamikagami →Karibu katika WiKamusi ya Kiswahili: Jibu Tag: Reply
15 Agosti 2024
- 09:4309:43, 15 Agosti 2024 tofauti hist +124 P fariki Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '==={{sw}}=== ===kitenzi=== '''fariki''' #Kufa; kupoteza uhai. '''Mfano:''' Babu yangu alifariki dunia mwaka jana. {{KWW}}' Tag: 2017 source edit
- 08:4508:45, 15 Agosti 2024 tofauti hist +358 P elekea Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '==={{sw}}=== ===kitenzi=== # Kusonga au kwenda upande fulani; kuenda kwenye mwelekeo fulani. Mf. ''Tulielekea mjini mara tu baada ya kumaliza kula chakula cha mchana.'' # Kuonyesha dalili za kuwa kitu fulani kitatokea. mathalani: ''Hali ya hewa inavyoonekana, inaelekea mvua itanyesha leo.'' ===visawe=== * nenda * songa * fikia {{KWW}}' Tag: 2017 source edit
- 08:3108:31, 15 Agosti 2024 tofauti hist +386 P elezea Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '==={{sw}}=== ''kitenzi'' (kiwanga - '''elezea''') # Toa maelezo au ufafanuzi wa jambo fulani. '''Mfano:''' Mwalimu alituelezea jinsi ya kufanya hesabu hii ngumu. ===Vitenzi vinavyohusiana=== * '''eleza''' - Kutoa maelezo au ufafanuzi. * '''elezewa''' - Kupata maelezo kutoka kwa mtu mwingine. ===visawe=== * fafanua * toa ufafanuzi *'''Kinyume chake''' *ficha {{KWW}}' Tag: 2017 source edit
- 08:2208:22, 15 Agosti 2024 tofauti hist +214 P Majadiliano ya mtumiaji:Kwamikagami →Karibu katika WiKamusi ya Kiswahili: mjadala mpya Tag: New topic
10 Agosti 2024
- 14:3814:38, 10 Agosti 2024 tofauti hist +142 dhifa No edit summary ya kisasa Tag: 2017 source edit
7 Agosti 2024
- 14:2614:26, 7 Agosti 2024 tofauti hist +445 P elewesha Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '=={{sw}}== === Kitenzi === '''elewesha''' ''(ki- na ku-)'' #kufanya jambo kuwa rahisi kueleweka; kutoa maelezo ya kina juu ya jambo fulani ili liweze kufahamika vizuri. *: ''Mfano: Mwalimu aliweza kuelewesha somo gumu kwa wanafunzi wake hadi wakaelewa.'' #kutoa ufafanuzi au ufahamu zaidi juu ya jambo fulani. #: ''Mfano: Kitabu hiki kimeelewesha vizuri historia ya nchi yetu.'' ==== Viunganishi ==== fafanua fundisha eleza {{KWW}}' ya kisasa Tag: 2017 source edit
- 13:5113:51, 7 Agosti 2024 tofauti hist +341 P elekeza Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '=={{sw}}== === Kitenzi === '''elekeza''' ''(ki- na ku-)'' #kutoa maagizo au maelekezo kwa mtu au watu juu ya nini cha kufanya. *'''Mfano:''' Mwalimu aliweza kuelekeza wanafunzi wake vizuri kwenye mradi wa sayansi.'' #kuonyesha njia au mwelekeo kwa mtu anayeuliza. *'''Mfano:''' ''Aliweza kumwelekeza mgeni jinsi ya kufika sokoni.'' {{KWW}}' ya kisasa Tag: 2017 source edit
- 13:3613:36, 7 Agosti 2024 tofauti hist +215 P daia Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '=={{sw}}== === Nomino === '''daia''' ''(n- n)'' #kifaa au chombo kinachotumika kupimia na kusambaza dawa za kioevu au kemikali. *''Mfano: Madaktari hutumia daia kutoa kipimo sahihi cha dawa kwa wagonjwa.'' {{KWW}}' ya kisasa Tag: 2017 source edit
- 13:3013:30, 7 Agosti 2024 tofauti hist +1 chemba No edit summary ya kisasa Tag: 2017 source edit
- 13:3013:30, 7 Agosti 2024 tofauti hist +193 P chemba Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '== {{sw}} == === Nomino === '''chemba''' ''(n- n)'' #Chumba kidogo au sehemu ya ndani ya kitu. #Sehemu ya chini ya ardhi iliyojengwa kwa ajili ya kuhifadhi vitu au kufanya kazi maalum. {{KWW}}' Tag: 2017 source edit
- 12:5712:57, 7 Agosti 2024 tofauti hist −11 kisawe Tengua pitio 134641 lililoandikwa na Samora malekela (Majadiliano) Tag: Undo
27 Julai 2024
- 13:1913:19, 27 Julai 2024 tofauti hist +316 P eleleza Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '==={{sw}}=== #'''elez'''.'''a''' ''kt'' [''ele''] ni kutoa ufafanuzi wa kina kuhusu jambo fulani ili kuwa wazi na rahisi kuelewa: ''~ kwa mifano''; ''~ wazi'' fafanua, chambua, elezea; ~ ''jambo jumlajumla''. (''tde'') '''elezea'''; (''tdk'') '''elezeka'''; (''tdn'') '''elezana'''; (''tdw'') '''elezwa'''. {{KWW}}' Tag: 2017 source edit
- 13:1013:10, 27 Julai 2024 tofauti hist +9 pajama No edit summary Tag: 2017 source edit
- 13:1013:10, 27 Julai 2024 tofauti hist +9 pindu No edit summary Tag: 2017 source edit
- 13:1013:10, 27 Julai 2024 tofauti hist +9 pinduliwa No edit summary Tag: 2017 source edit
- 13:0913:09, 27 Julai 2024 tofauti hist +17 pinga No edit summary Tag: 2017 source edit
- 13:0813:08, 27 Julai 2024 tofauti hist +9 pingamizi No edit summary Tag: 2017 source edit
- 13:0813:08, 27 Julai 2024 tofauti hist +9 pingili No edit summary ya kisasa Tag: 2017 source edit
25 Julai 2024
- 12:3012:30, 25 Julai 2024 tofauti hist +387 P pingili Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '=={{sw}}== === Nomino === '''pingili''' ''{{cl|ki}}'' #moja ya sehemu ndogo zinazounda mfupa wa uti wa mgongo au mifupa ya vidole. *"Pingili za uti wa mgongo ni muhimu kwa harakati za mwili." #sehemu ndogo ya kitu kinachotenganishwa kwa vipande vidogo. *"alivunja pingili za mkufu ili kutengeneza vipande vidogo." === Visawe === *kipande *sehemu ===Tafsiri=== *{{en}}: ring' Tag: 2017 source edit
- 12:1312:13, 25 Julai 2024 tofauti hist −18 pingamizi No edit summary Tag: 2017 source edit
- 12:1312:13, 25 Julai 2024 tofauti hist +345 P pingamizi Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '== Kiswahili == === Nomino === '''pingamizi''' #Kitendo cha kupinga au kukataa jambo fulani. *Mf: "Aliwasilisha pingamizi dhidi ya uamuzi wa mahakama." #Hoja au sababu inayotolewa ili kupinga jambo fulani. #"Wanasheria waliwasilisha pingamizi mahakamani." === Visawe === * upinzani * kipingamizi Jamii:Maneno ya Kiswahili' Tag: 2017 source edit
- 12:0812:08, 25 Julai 2024 tofauti hist +543 P pinga Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '== Kiswahili == === Kitenzi === '''pinga''' ''(hali ya kufanya tendo)'' #Kukataa au kupinga jambo, pendekezo, au maoni. #"Alipinga wazo hilo kwa nguvu zote." #Kusimama dhidi ya jambo, mtu, au hali kwa nguvu. #"Wananchi walijitokeza kupinga sera mpya za serikali." === Visawe === *kataa *kanusha *zuia === Nomino === '''pinga''' #(maumbo) Kipande cha mti, mbao, au chuma kinachotumika katika ujenzi au shughuli mbalimbali. #"Walitumia pinga...' Tag: 2017 source edit