Nenda kwa yaliyomo

shurutisha

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

kitenzi

[hariri]
  1. kulazimisha mtu afanye kitu kwa nguvu au kwa amri.
  • mfano: alimshurutisha mtoto kwenda shuleni. (alimlazimisha mtoto kwenda shuleni).
visawe
[hariri]

Tafsiri

[hariri]
Ingizo hili ni sehemu ya mradi wa Kuboresha Wikipedia na Wikamusi ya Kiswahili. Unaweza kusaidia kuihariri na kuongeza maana.