kisawe

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Nomino[hariri]

kisawe (wingi visawe)

  1. neno lenye maana sawa na neno ingine

Tafsiri[hariri]

Ni neno lenye maana sawa na neno lingine.Kwa mfano kwenye sentensi: Msichana mrembo anatembea/Kipusa anatembea Konde