Wiktionary:Wakabidhi

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Mkabidhi ni mhariri aneyeweza kutumia zana za kifundi, kwa mfano, kufuta makala kabisa, kuhifadhi makala, kuzuia waharibifu na kadhalika. Mkabidhi ni msaidizi tu. Hana hukumu maalum juu ya maandishi ya makala au sera ya kamusi elezo.

Bureaucrat (ni neno la Kiingereza, maana yake ni mfanyakazi wa uendeshaji wa serikali au ushirika mwingine) ana uwezo kufanya mtu kuwa mkabidhi, kubadilisha jina la mtumiaji na kuteua akaunti ya kikaragosi ("set bot flag", kwa Kiingereza).

Wakabidhi (Administrators)[hariri]

Orodha hii ilisasishwa tarehe 29, Mei 2008.

BOTs: please use the Wikamusi:Jumuia page to request bot status, and one of the bureaucrats will deal with it

  • Bureaucrat


  • Mkabidhi (administrator, sysop)

Uteuzi (Nominations)[hariri]

Upige kura kukabidhi mtumiaji awe mkabidhi. Mkabidhi akiwa na kasa kura mbili ya kuunga mkono (bighairi ya kura ya mteuzi), ni lazima atateuliwa tena Wikamusi ya Kiswahili itakapokuwa imeshughulika. (Please vote below to accept the listed users as admins. Any admins created with fewer than 2 support votes (other than that of the nominator) should be renominated once sw: becomes more active.)

Current nomination[hariri]

For bureaucrat status, we choose to nominate User:Robert Ullmann for taking care of that task.

Robert Ullmann[hariri]

Candidate's acceptance: Ndiyo (and we won't have to bug Spacebirdy every so often) Robert Ullmann (majadiliano) 13:33, 15 Mei 2009 (UTC)[jibu]


Support[hariri]

As nominator, I support Robert Ullmann for Bureaucrat status.--Muddyb Blast Producer 08:00, 10 Julai 2008 (UTC)[jibu]

Oppose[hariri]

Muddyb Blast[hariri]

Najiteua kuwa mkabidhi ili niweze kuhariri Mediawiki na kuboresha viungo vya hapa. Pia kuifanya hii Wikamusi imara na madhuti zaidi. Kwakuwa hamna mtu aliyewahi kuchangia katika kurasa hizi za humu katika Wikamusi, ningependa niteuliwe mie kwasababu zifuatazo:

  • Kwanza saa zote niko online, hivyo itasaidia kuangalia huku saa zote.
  • Nitakuwa nikiandika maneno katika Wikipedia kwa Kiswahili, halafu naelekezea huku kwa Wikamusi endapo mtu ataesoma hajui maana halisi ya neno hilo.
  • Kuiweka katika hali ya kuwa kama Wiki zingine.
  • Ujenzi wa template na vifaa vya kufanyia kazi.
  • Nina uzoefu na zana za Kiwiki, hivyo haitokuwa tabu kwangu kwa kuumba template au kumsaidia mtumiaji mpya.

Naona hayo ndiyo niliyokuwa nayo tu. Mengineyo yatafuata baadaye!


Support[hariri]

  1. Support. Robert Ullmann (majadiliano) 13:35, 15 Mei 2009 (UTC)[jibu]

Oppose[hariri]

Trunzep[hariri]

Naomba niwe mkabidhi wa Swahili Wikitionary. Nina lugha fasihi na nitafanya tovuti hii iwe sawa na kuimarisha kiswahili.

Trunzep[hariri]

Naomba kuwa mkabidhi wa Swahili Wiktionary ili niweze kuimarisha lugha hii ajibu ya Kiswahili kwa kuongeza maneno kayaya na kutoa maneno ambayo si nzuri n.k. Natumai mtakubali Trunzep (majadiliano) 09:12, 11 Novemba 2016 (UTC)[jibu]

Support[hariri]


Trunzep[hariri]

I ask for a re-adminship course for another 6 months so that I can continue with operations in the wiki. --Trunzep (majadiliano) 14:43, 16 Aprili 2017 (UTC)[jibu]

It'zDJPerez[hariri]

I ask for an extension of my adminship course in the wiki and continue to clear the trash around --DJ Perez ( - ) 09:10, 2 Novemba 2017 (UTC)[jibu]

Synoman Barris[hariri]

Naomba kuwa mkabidhi wa Swahili Wiktionary ili nieze kusaidia kuisafisha na kuimarisha. Niko na ujuzi wa kompyuta na MediaWiki. Kuna vitu vingi hapa vinavyostahili kutengenezwa. Asante --Synoman Barris (majadiliano) 22:15, 1 Oktoba 2020 (UTC)[jibu]

Kukubali[hariri]

  • Sentensi zake za Kiswahili kuna kasoro kidogo, lakini kwenye wikamusi sentensi si muhimu vile kuliko uwezo wa kutumia marejeo na kuelewa dhana za isimu. Kutokana na maarifa ya kazi ataijua. Pia naona ingawa ameanza juzi tu (angalau kwa jina hilo) ameshachangia mengi (amehariri mara 12K tangu Mei 2020) pale enwiki. Kwa hiyo naona ataweza kuchangia. Namkubali kuwa mkabidhi hapa. 17:19, 2 Oktoba 2020 (UTC)Kipala (majadiliano)
  • Nami pia nakubaliana na kipala, kwa kuwa wikamusi inahitaji marekebisho na mambo mengi mpya kutokana na hali ya wikamusiAK alvin kipchumba (User talk:Alvin kipchumba) 10:56, 4 Oktoba 2020 (UTC)[jibu]

Kupinga[hariri]

Synoman Barris[hariri]

Ningependa kuchukua hii nafasi kuomba kuwa mkabidhi tena kwenye wikamusi hii ili niendelee na kazi muhimu kwenye kamusi. Asante --Synoman Barris (majadiliano) 07:16, 20 Mei 2021 (UTC)[jibu]

Synoman Barris[hariri]

Ningependa kuchukua fursa hii kuiomba jamii inipe fursq ya kuchaguliwa tena kama mkabidhi. Nimekuwa mkabithi kwa miaka moja na naamini nimefanya kazi nzuri --Synoman Barris (majadiliano) 10:31, 24 Novemba 2021 (UTC)[jibu]

XR98[hariri]

Ningeomba kuwa mkabidhi wa kudumu katika Wikamusi hii. Nimewahi kuwa mkabidhi nilipokuwa natumia majina Trunzep na ItsDJPerez lakini nilikuwa mwanafunzi wa shule ya msingi na sekondari na sikuweza kufanya marekebisho mengi lakini sasa, nina saa ya kufanya marekebisho kwa kina. Wikamusi hii inahitaji mwanzo upya na ninajua nitaweza kushikilia usukani vilivyo. Asante na ninatumai nitawatumikia vilivyo --XR98 ( - ) 10:34, 5 Mei 2023 (UTC)[jibu]