Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano ya mtumiaji:Alvin kipchumba

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Weka mada
Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru
Latest comment: miezi 6 iliyopita by Muddyb in topic Habari za siku?

Admins

[hariri]

Habari Alvin, (en) Hello, what i am going to elaborate on needs me to speak in English, well i studied the swahili language and I am believe i know it at professional level. I see admins are not much active here. I can help with cleaup here and fix the wiki settings. Many Thanks --Synoman Barris (majadiliano) 21:57, 1 Oktoba 2020 (UTC)Reply

Pole, kwa kusahau kujibu swali lako, nilikuwa na jambo, naona yanafanya sasa --Synoman Barris (majadiliano) 20:53, 11 Oktoba 2020 (UTC)Reply

Hakuna shida nami pia husahau, unaona nini inafanya sasa AK alvin kipchumba (User talk:Alvin kipchumba) 07:39, 12 Oktoba 2020 (UTC)Reply

Bado sijui, kabla nisahau tena, unaweza nisaidia kuweka maneno kwa Neno la Siku. Asante --Synoman Barris (majadiliano) 10:42, 12 Oktoba 2020 (UTC)Reply

Naam nimeona hilo, nitakusaidia, lakini utachaguaje neno la kuweka AK alvin kipchumba (User talk:Alvin kipchumba) 10:49, 12 Oktoba 2020 (UTC)Reply

(en) Any word will do, I have also requestes extra user permissions on this Wiki. I also got the admin bit. Cheers --Synoman Barris (majadiliano) 10:51, 12 Oktoba 2020 (UTC)Reply
Where are those words you also wanted deleted --Synoman Barris (majadiliano) 10:52, 12 Oktoba 2020 (UTC)Reply

Cheers, the words to be deleted moreso can be found on the main page of wiktionary 'faharasa and miandiko ingine'from there it will depend on you on which ones to be deleted(though it is going to be a hustle browsing through all the words) the ones I mistakingly created were 'adhiminisha' and 'adimsha'.For how long are you going to be a sysop/administrator? I still am having trouble applying audio to words for pronunciation and one more do you believe in the contests of wikipedia projects, do they give out the prizes. AK alvin kipchumba (User talk:Alvin kipchumba) 19:47, 12 Oktoba 2020 (UTC)Reply

Is there a way to change the welcoming slogan to kiswhili on the main page AK alvin kipchumba (User talk:Alvin kipchumba) 19:44, 13 Oktoba 2020 (UTC)Reply

Habari za siku?

[hariri]

Ndugu Alvin kipchumba, nimefurahi kukutana kazi kubwa uliyoifanya hapa. Hongera mno na pole kwa changamoto za maisha. Je, tunaweza kuendelea pamoja huu mradi? Angalau nipate mtu wa kujibizana naye. Muddyb (majadiliano) 06:29, 17 Juni 2024 (UTC)Reply