tai

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

tai mfalme
tai vazi

Nomino[hariri]

tai

  1. aina ya ndege aliye na mdomo kwa umbo wa kulabu
  2. aina ya vazi inayovaliwa shingoni

Tafsiri[hariri]

Wikipedia ya Kiswahili ina makala kuhusu:

sw