korongo
Mandhari
Kiswahili
[hariri]Nomino
[hariri]korongo (wingi korongo)
- ndege wa mwitu wa familia Gruidae mwenye miguu mirefu na hupita kwenye maji ya ziwa kusaka chakula
- ndege wa mwitu wa familia Ciconiidae mwenye miguu mirefu na hupita kwenye maji ya ziwa kusaka chakula
- mnyamapori mkubwa mwenye mabaka meusi kichwani na pembe zilizopindika kuelekea nyuma
Tafsiri
[hariri]- Kiingereza : crane (en) (1) stork (en) (2) roan antelope (en) (3)
- Luhya: ekolongolo (luy)
- Kiholanzi: kraanvogel (nl) (1) ooievaar (nl) (2) paardantilope (nl) (3)