ziwa

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru
Jump to navigation Jump to search

Kiswahili[hariri]

ziwa limezungukwa na milima

Nomino[hariri]

ziwa (wingi maziwa)

  1. sehemu yenye maji mengi iliyozungukwa na nchi kavu

Tafsiri[hariri]