Nenda kwa yaliyomo

kiongozi

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

Nomino[hariri]

kiongozi (wingi viongozi)

  1. mtu anayeelekeza watu kufanya jambo
  2. ndege anayeongoza watu na wanyama kama nyegere mpaka masega ya nyuki

Visawe[hariri]

Tafsiri[hariri]

Wikipedia ya Kiswahili ina makala kuhusu:

sw