watu

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

Watu ni neno la kutaja wingi wa mtu.

Mfano[hariri]

Watu wengi hupendelea mwishoni mwa wiki kwenda ufukweni, Kwa kiing: Most of people they like to visit beach every week end.

Watu kwa kiingereza (english)

People, peoples.