Nenda kwa yaliyomo

jimbi

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Nomino

[hariri]

jimbi (wingi majimbi)

  1. kuku wa kiume ambaye hajakomaa
  2. shinagimbi la mgimbi (Colocasia esculenta); kisawe cha gimbi
  3. mmea usiotoa maua wala mbegu (Polypodiopsida) lakini unaozaa kupitia spora

Tafsiri

[hariri]