ua

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

maua mmea.
ua ya kutenganisha sehemu.

Nomino[hariri]

ua (wingi maua)

  1. sehemu ya mmea ambao huchanuka
  2. mimea au mbao inayotenganisha sehemu
  3. sehemu iliyoko mbele ya nyumba

Tafsiri[hariri]