chai

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

chai kinyuaji.

Nomino[hariri]

chai


  1. kinyuaji kilichotengenezwa kwa kuchemsha maji yenye majani ya mchai
  2. kitu hasa pesa anachopewa mtu ili afanye jambo lisilo la haki


Visawe[hariri]

Tafsiri[hariri]