pesa

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

Nomino[hariri]

pesa

  1. fedha au kitu cha sarafu au noti chenye uwezo wa kununua kitu
  2. fedha au Mahari ya kubadirisha fedha

Fedha za kiafrica:

  1. Din
  2. N.Dollar
  3. S.Dinar
  4. E.A.Shilling
  5. STP Dobra
  6. Kwacha
ina makala kuhusu:

Visawe[hariri]

Tafsiri[hariri]

Kamba: mbesa