Nenda kwa yaliyomo

Wiktionary:Neno la siku/2021/Januari 5

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru
Neno la Siku
ya Januari 5
akiki nomino
  1. (kidini)dua inayosomwa wakati wa kumzika mtoto ambaye hakufanyiwa akika
  2. kito chekundu kinachotiwa kwenye pete; kipambo cha kidani
  3. bonde lililomomonyolewa na maji mengi ya mvua
← jana | Kuhusu Neno la SikuTeaua nenoAcha maoni | kesho →