Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru
Jump to navigation
Jump to search
akiki
- (kidini)dua inayosomwa wakati wa kumzika mtoto ambaye hakufanyiwa akika
- kito chekundu kinachotiwa kwenye pete; kipambo cha kidani
- bonde lililomomonyolewa na maji mengi ya mvua