Nenda kwa yaliyomo

Wiktionary:Neno la siku/2021/Januari 12

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru
Neno la Siku
ya Januari 12
akiki nomino
  1. (kidini)dua inayosomwa wakati wa kumzika mtoto ambaye hakufanyiwa akika
  2. kito chekundu kinachotiwa kwenye pete; kipambo cha kidani
  3. bonde lililomomonyolewa na maji mengi ya mvua
← jana | Kuhusu Neno la SikuTeaua nenoAcha maoni | kesho →