Nusu irabu

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Nusu irabu ni fonimu ambazo hazina sifa ya kuwa irabu wala konsonanti. Nusu irabu za lugha ya Kiswahili ni fonimu Y na W.