lugha

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

Nomino[hariri]

lugha (wingi)

Luga (fr., pt.)

  1. maneno yanayotumiwa na watu fulani ili kuwasiliana

Hatua ya kwanza ya kuongea lugha ni kutamka sauti.

Utamkaji wa sauti za lugha huhusisha hewa inayotoka mapafuni.

Mapafu husukuma hewa katika mkondo wa hewa na kuielekeza kooni.

Katika sehemu ya koo, hewa hupitia katika kiungo muhimu sana kinachotetemeka na kutoa sauti. Kiungo hiki huitwa nyuzi za sauti.

Nyuzi za sauti ndicho chanzo cha sauti zote zinazotamkwa na binadamu.

Baada ya kupitia nyuzi za sauti, hewa huendelea kuelekea kinywani.

lugha muhimu za kiafrica; Swahili, Somali, Amharic, Hausa, Lingala, Shona.

Lugha za kiafrika: Afrikaans · አማርኛ · Bamanankan · Chi-Chewa · chiShona · chiTumbuka · Ɛʋɛ · Fulfude · Gĩkũyũ · هَوُسَ · Ìgbo · isiXhosa · isiZulu · Taqbaylit · Kiarabu ya Masri · Kikongo · Kinyarwanda · Kirundi · Lingala · Luganda · Malagasy · Malti · Oromoo · Oshiwambo · Sängö · seSotho · Setswana · SiSwati · Soomaaliga · ትግርኛ · Tshivenda · Twi · Wolof · Xitsonga · Yorùbá ·

Tafsiri[hariri]