irabu

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru
Jump to navigation Jump to search

Kiswahili[hariri]

Nomino[hariri]

  1. herufi inayotamkwa kwa kusukuma nje hewa bila kuiwekea kikwazo: kwa mfano irabu za Kiswahili ni a, e, i, o, u.

Pia kuna sauti kama "y" huweza kusimama na kuwa irabu mfano obey /obei/ ====Tafsiri==== maneno kama cry sky n.k