Rekodi kuu za umma
Mandhari
Hapa panaonyeshwa kumbukumbu zote za Wiktionary kwa pamoja. Unaweza kuona baadhi yao tu kwa kuchagua aina fulani ya kumbukumbu, jina la mtumiaji fulani (zingatia herufi kubwa na ndogo), au jina la ukurasa fulani (zingatia herufi kubwa na ndogo).
- 12:08, 22 Aprili 2023 Super8 Devs majadiliano michango created page Majadiliano ya mtumiaji:Capricorn94 (Marekebisho: mjadala mpya) Tag: New topic
- 12:04, 22 Aprili 2023 Super8 Devs majadiliano michango created page Majadiliano ya mtumiaji:Michael Goodlucky (Marekebisho: mjadala mpya) Tag: New topic
- 12:00, 22 Aprili 2023 Super8 Devs majadiliano michango created page Majadiliano ya mtumiaji:Christian Anold Mosha (Marekebisho: mjadala mpya) Tag: New topic
- 11:52, 22 Aprili 2023 Super8 Devs majadiliano michango created page Majadiliano ya mtumiaji:Gee issaya (Marekebisho: mjadala mpya) Tag: New topic
- 11:38, 22 Aprili 2023 Super8 Devs majadiliano michango created page Hifadhi ya kaboni (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '== {{sw}} == thumb|right|250px|Hifadhi ya kaboni === Nomino === hifadhi ya kaboni ni kiasi cha kaboni ambayo imechukuliwa kutoka anga na sasa imehifadhiwa ndani ya mazingira ya misitu, hasa ndani ya majani hai na udongo, na kwa kiasi kidogo pia katika kuni zilizokufa na takataka. === Tafsiri === *{{en}} {{t|en|Carbon Stock}} Jamii:Kiswahili')
- 11:30, 22 Aprili 2023 Super8 Devs majadiliano michango created page Nishati mbadala (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '== {{sw}} == thumb|right|250px|Nishati Mbadala === Kielezi === Ni aina za nishati kutoka vyanzo asilia kama vile mwanga wa jua, nguvu ya upepo, mvua, joto kutoka ardhi, mwendo wa kupwakujaa, kuni au aina nyingine za biomasi na mengine. === Tafsiri === *{{en}} {{t|en|Renewable Energy}} Jamii:Kiswahili')
- 11:11, 22 Aprili 2023 Super8 Devs majadiliano michango created page Mfumo wa ikolojia (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '== {{sw}} == thumb|right|200px|Mfumo wa Ikolojia === Nomino === Ni eneo la kijiografia ambapo mimea, wanyama, na viumbe vingine, pamoja na hali ya hewa na mandhari, hufanya kazi pamoja ili kuunda kiputo cha maisha. === Tafsiri === *{{en}} {{t|en|Ecosystem}} Jamii:Kiswahili')
- 11:05, 22 Aprili 2023 Super8 Devs majadiliano michango created page Mtumiaji:Super8 Devs (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Habari! Naitwa Kelvin Charles Meena natokea Arusha Tanzania, ni mhariri wa kujitolea wa mtandao wa Wikipedia ya Kiswahili na Wikitionary ya kiswahili. na pia ni mwanafunzi wa teknolojia ya kompyuta na ninapenda fani yangu.')
- 10:59, 22 Aprili 2023 Super8 Devs majadiliano michango created page Ushauri wa hali ya hewa. (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '== {{sw}} == thumb|rgiht|250px|Ushauri wa hali ya hewa === Kitenzi === === Tafsiri === *{{en}} {{t|en|Weather Advisory}} Jamii:Kiswahili')
- 10:53, 22 Aprili 2023 Super8 Devs majadiliano michango created page Majira ya joto (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '== {{sw}} == thumb|right|250px|Majira ya joto === Nomino === majira ya mwaka ya vuguvugu ambayo huanza mwezi wa sita na kukamilika mwezi wa tisa. === Tafsiri === *{{en}} {{t|en|Summer}} Jamii:Kiswahili')
- 10:17, 22 Aprili 2023 Super8 Devs majadiliano michango created page Unyevunyevu wa mchanga (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '== {{sw}} == thumb|right|200px|Unyevunyevu wa mchanga === Kielezi === Hali ya mchanga kuwa na umajimaji hasa baada ya mvua kunyesha. === Tafsiri === *{{en}} {{t|en|Soil Moisture}} Jamii:Kiswahili')
- 10:07, 22 Aprili 2023 Super8 Devs majadiliano michango created page Mkusanyiko wa matone madogomadogo ya maji (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '== {{sw}} == thumb|right|250px|Mkusanyiko wa matone madogomadogo ya maji === Kielezi === Mkusanyiko wa matone madogomadogo ya maji yanayounda kitu kama mawingu lakini huwa angani au karibu sana na ardhi na huzuia mtu kuona mbali lakini si kama ukungu. === Tafsiri === *{{en}} {{t|en|Mist}} Jamii:Kiswahili')
- 09:50, 22 Aprili 2023 Super8 Devs majadiliano michango created page Demani (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '== {{sw}} == thumb|right|250px|Demani === Nomino === Sehemu ambayo imekingwa na mlima kutokana na upepo unaovuma kutoka upande wa pili wa mlima na aghalabu hupata mvua chache Mfano. mji wa Nanyuki uko demani mwa Mlima Kenya === Tafsiri === *{{en}} {{t|en|Leeward side}} Jamii:Kiswahili')
- 09:44, 22 Aprili 2023 Super8 Devs majadiliano michango created page Upepo Jeti (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '== {{sw}} == thumb|right|250px|Upepo Jeti === Nomino === ukanda wa upepo mkali sana na aghalabu huvuma kwa kasi sana angani. === Tafsiri === *{{en}} {{t|en|Jet stream}} Jamii:Kiswahili')
- 09:41, 22 Aprili 2023 Super8 Devs majadiliano michango created page Kipima unyevu (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '== {{sw}} == thumb|right|200px|Kipima Unyevu === Nomino === kifaa maalum kinachotumiwa kupimia umajimaji ulioko kwenye angahewa. === Tafsiri === *{{en}} {{t|en|Hygrometer}} Jamii:Kiswahili')
- 09:38, 22 Aprili 2023 Super8 Devs majadiliano michango created page Uwezekano mkubwa (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '== {{sw}} == thumb|right|200px|Uwezekano mkubwa wa kitu kutokea === Nomino === Uwezekano mkubwa wa kutendeka kwa jambo au kitu. kwa mfano, kuna uwezekano mkubwa wa kunyesha kwa mvua. === Tafsiri === *{{en}} {{t|en|High probability}} Jamii:Kiswahili')
- 09:34, 22 Aprili 2023 Super8 Devs majadiliano michango created page Mvua ya mawe (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '== {{sw}} == thumb|right|200px|Mvua ya mawe === Nomino === Mvua ya mawe inayotokana na mawingu ya kumulo nimbasi. === Tafsiri === *{{en}} {{t|en|Hail}} Jamii:Kiswahili')
- 09:28, 22 Aprili 2023 Super8 Devs majadiliano michango created page Sakitu (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '== {{sw}} == thumb|right|200px|sakitu === Nomino === Baridi kali inayosababisha theluji. === Tafsiri === *{{en}} {{t|en|Frost}} Jamii:Kiswahili')
- 09:24, 22 Aprili 2023 Super8 Devs majadiliano michango created page Kilele cha mafuriko (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '== {{sw}} == thumb|right|200px|Kilele cha mafuriko === Nomino === === Tafsiri === *{{en}} {{t|en|Flood crescent}} Jamii:kiswahili')
- 09:20, 22 Aprili 2023 Super8 Devs majadiliano michango created page Mvukizo (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '== {{sw}} == thumb|right|200px|Mvukizo === Nomino === Hali ya maji kubadilika na kuwa mvuke kutokana na kuzidishwa kwa halijoto. === Tafsiri === *{{en}} {{t|en|Evaporation}} Jamii:Kiswahili')
- 09:17, 22 Aprili 2023 Super8 Devs majadiliano michango created page Upepo wa uwandani (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '== {{sw}} == thumb|right|250px| Upepo wa Uwandani === Nomino === upepo unaofululiza kutoka sehemu ya juu na kushuka uwandani. === Tafsiri === *{{en}} {{t|en|Downslope wind}} Jamii:Kiswahili')
- 09:13, 22 Aprili 2023 Super8 Devs majadiliano michango created page Mawingu pamba (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '== {{sw}} == thumb|right|250px| Mawingu pamba === Nomino === mawingu yenye umbo la pamba yaliyopangika kwenye anga na aghalabu huwa ni ishara ya halitulivu ya hewa. === Tafsiri === *{{en}} {{t|en|Cumulus clouds}} Jamii:Kiswahili')
- 08:55, 22 Aprili 2023 Super8 Devs majadiliano michango created page Kipima kanihewa (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '== {{sw}} == thumb|right|250px| Kipima kani hewa === Nomino === kifaa kinachotumiwa na wanasayansi kupimia kanihewa. === Tafsiri === *{{en}} {{t|en|Barometer}} Jamii:Kiswahili')
- 07:07, 22 Aprili 2023 Akaunti ya mtumiaji Super8 Devs majadiliano michango ilianzishwa na mashine