Nishati mbadala
Mandhari
Kiswahili
[hariri]
Kielezi
[hariri]Ni aina za nishati kutoka vyanzo asilia kama vile mwanga wa jua, nguvu ya upepo, mvua, joto kutoka ardhi, mwendo wa kupwakujaa, kuni au aina nyingine za biomasi na mengine.
Tafsiri
[hariri]- Kiingereza : Renewable Energy (en)