zulia

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

Nomino[hariri]

zulia

  1. tambaa maalum linalotandikwa sakafuni hasa sebuleni ili kurembesha nyumba au kuzuia uchafu

Tafsiri[hariri]