nyumba

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

nyumba.

Nomino[hariri]

nyumba

  1. jengo lolote linalotumiwa na binadamu kujikinga kutokana na hali mbaya ya anga au wanyama wakali

Tafsiri[hariri]