zuakulu

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

zuakulu domo-kuu

Nomino[hariri]

zuakulu (wingi zuakulu)

  1. ndege mdogo wa jamii ya kigong'ota mwenye rangi nyeusi, nyeupe, nyekundu na njano

Visawe[hariri]

Tafsiri[hariri]

Wikipedia ya Kiswahili ina makala kuhusu:

sw