Nenda kwa yaliyomo

nchi

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Nomino

[hariri]

nchi (wingi nchi)

  1. sehemu ya ardhi iliyogawanyika kisiasa kutoka nyingine kuwa taifa


Nchi kama; Canada, India, Congo Zaire, Argentina.

Tafsiri

[hariri]