yai

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

mayai.

Nomino[hariri]

yai (wingi mayai)

  1. kitu kinachoweza kuwa mviringo kinachotagwa na ndege au wanyama watambaao na husababisha kuzaliwa kiumbe mwengine.

2. Seli inayotolewa na kiumbe jike ambayo ikiungana na mbegu ya kiume huumba mtoto.

Tafsiri[hariri]