Nenda kwa yaliyomo

uzazi

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Nomino

[hariri]

uzazi

  1. sehemu ndani ya mwili wa kiumbe cha kike chenye uwezo wa kubeba mimba
  2. jinsi ya kuzaa au hali ya kuwa mzazi

Tafsiri

[hariri]