Nenda kwa yaliyomo

utambi

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Nomino

[hariri]

utambi (wingi tambi)

  1. uzi au kitambaa kinachowekwa kwa taa au mshumaa na kuwashwa ili kitoe mwangaza

Tafsiri

[hariri]