mshumaa

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru
Jump to navigation Jump to search

Kiswahili[hariri]

mshumaa.

Nomino[hariri]

mshumaa (wingi mishumaa)

  1. kifaa kilichotengenezwa na nta iliyogandishwa na utambi katikati ili kumulikia iwashwapo

Visawe[hariri]

Tafsiri[hariri]