silabi

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

Nomino[hariri]

silabi

  1. sehemu ya neno inayoundwa na konsonanti na irabu au irabu peke yake na hutamkwa kwa pamoja kama fungu moja la sauti kwa mfano 'i' na 'ta' latika neno 'ita' ni silabi mbili tofauti.

Tafsiri[hariri]