shore

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

1. Nomino[hariri]

shore (wingi mashore)

  1. kishungi cha nywele

Tafsiri[hariri]

2. Nomino[hariri]

shore (wingi shore)

shore tako-njano
shore kijivucheusi
  1. ndege mdogo wa jamii Pycnonotidae
  2. ndege wa jamii Muscicapidae anayekamata wadudu

Tafsiri[hariri]

Wikipedia ya Kiswahili ina makala kuhusu:

sw