pungu

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru
Jump to navigation Jump to search

Kiswahili[hariri]

Nomino[hariri]

pungu (wingi mapungu)

  1. aina ya tai mwenye mkia mfupi
  2. samaki mwenye mwili mpana na mkia mrefu na mwembamba

Tafsiri[hariri]

Kiingereza: bateleur (en) (1) Kiingereza: eagle ray (en) (2)