paa

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

paa nyumba.
paa mnyama.

Nomino[hariri]

paa

  1. mnyama wa mwitu mwenye pembe ndefu na huwa mwepesi ili atoroke simba wanaowawinda
  2. sehemu ya juu ya nyumba inazuia mvua na jua


Tafsiri[hariri]