Nenda kwa yaliyomo

ngono

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Nomino

[hariri]

ngono

  1. kitendo cha kujamiiana au kufanya mapenzi kati ya mwanamme na mwanamke

Tafsiri

[hariri]

Ngono: ni kulala. ASILI yake ni wanawake wengi kushiriki ndoa na mwanaume Mmoja ambapo mwanaume alipanga kulala Kwa wake zake Kwa zamu. Kitendo hicho cha kulala kiliitwa NGONO