mwewe

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

mwewe domo-njano

Nomino[hariri]

mwewe (wingi mwewe)

  1. ndege mbuai mwenye rangi ya kahawa anayekula nyama na hueza kuona mbali sana

Tafsiri[hariri]

Wikipedia ya Kiswahili ina makala kuhusu:

sw