mtandao
Kiswahili[hariri]
Nomino[hariri]
mtandao (wingi mitandao)
- huduma inayowezesha kutuma na kupokea ujumbe kwa tarakilishi au simu ya rununu
==Tafsiri[hariri]
Mtandao kutokana na neno Tanda, kibantu ,maana kusambaza au anika ,mfano nyavu ya samaki ikitumika kuvua ,au buibui alivyo tandaza mtego wake . Munganisho ya Uzi wake kutegeneza mtego uitwayo web kwa kingereza ndo unamwezesha kukamata wadudu ,pia inamfahamisha Mara moja kama kuna adui.