mnazi

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru
Jump to navigation Jump to search

Kiswahili[hariri]

mnazi palm

mnazi (wingi minazi)

  1. mti mrefu ulio na kuti zinazotumika kuezeka paa matunda yake huliwa na kutumika kupika au kutengeneza mafuta, huota kando ya bahari

Tafsiri[hariri]