mlinzi

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

Nomino[hariri]

mlinzi (wingi walinzi)

mlinzi mkubwa
  1. mtu anayefanya kazi ya kuchunga usalama wa mahali fulani
  2. ndege wa bahari wa familia Procellariidae

Tafsiri[hariri]

Wikipedia ya Kiswahili ina makala kuhusu:

sw