kurumbiza

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

kurumbiza tumbo-kijivu

Nomino[hariri]

kurumbiza (wingi kurumbiza)

  1. ndege mdogo mwenye kelele sana alfajiri aliye na mkia mrefu na ushungi (jamii Muscicapidae)

Tafsiri[hariri]

Wikipedia ya Kiswahili ina makala kuhusu:

sw