kurea

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

Kurea kidari-kijivu

Nomino[hariri]

kurea (wingi kurea)

  1. aina ya ndege mdogo wa jenasi Halcyon katika jamii ya midiria (Alcedinidae)

Tafsiri[hariri]

Wikipedia ya Kiswahili ina makala kuhusu:

sw