Nenda kwa yaliyomo

kucha

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]
kucha za vidole
kucha manjano

Nomino

[hariri]

kucha (Kucha makucha)

  1. sehemu ya mwili inayopatikana kwenye vidole, hupakwa rangi na wanawake wakijipodoa
  2. ndege mdogo wa jamii ya ndege wimbaji

Tafsiri

[hariri]

Ukucha