Nenda kwa yaliyomo

kitinda mimba

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Nomino

[hariri]

kitinda mimba (wingi vitinda mimba)

  1. mtoto aliyezaliwa mwisho katika familia

Tafsiri

[hariri]