kiroboto

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

kiroboto

Nomino[hariri]

kiroboto (wingi viroboto)

  1. mdudu mdogo anayependa kukaa kwa manyoya ya mbwa na paka

Tafsiri[hariri]