paka

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

Wikipedia ya Kiswahili ina makala kuhusu:

sw

Nomino[hariri]

paka

Paka
  1. paka mnyama wa nyumbani ambaye hufugwa na binadamu pia hula panya

2. Kuna wanyama mwitu wengi wenye kufanana na jamii ya paka wa majumbani.

3. :Simba na tiger ni paka wakubwa. Kisawe cha neno paka

Tafsiri[hariri]