Nenda kwa yaliyomo

kiranja

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Nomino

[hariri]

kiranja (wingi viranja)

  1. kiongozi wa kikundi
  2. kijana wa kwanza kutahiriwa jandoni; fumbi, chando

Kiranja yuko katika ngeli ya a-/wa-


Tafsiri

[hariri]