kanga

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

kanga wa kawaida

Nomino[hariri]

kanga (wingi kanga)

  1. ndege wa mwitu ambaye yupo katika familia ya kuku ana rangi ya kijivu
  2. kitambaa cha pamba kinachovaliwa kikiwa kimekalidiwa nyongani

Bundaz

Tafsiri[hariri]

Wikipedia ya Kiswahili ina makala kuhusu:

sw