chizi

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

chizi zikiwa kwenye soko.

Nomino[hariri]

chizi (wingi machizi)

  1. mtu mwenye akili pungwani
  2. mtu anayefanya mambo ya kihuni
  3. aina ya chakula inayotokana na kugandisha maziwa kisha kuyatoa maji

Visawe[hariri]

Tafsiri[hariri]