akili

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

Nomino[hariri]

akili

  1. uwezo wa kujua mambo kwa urahisi
  2. sehemu ya mwili iliyo ndani ya kichwa cha binadamu ambayo humsaidia kufikiria

Tafsiri[hariri]