Nenda kwa yaliyomo

chepeo

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Nomino

[hariri]

chepeo (wingi vyepeo)

  1. aina ya kofia
  2. kanga wa kawaida mwenye upanga wa mfupa

Kisawe

[hariri]

Tafsiri

[hariri]

Kiingereza : hat (en) (1) helmeted guineafowl (en) (2)